Breaking News
Loading...
Tuesday, 12 August 2014

Info Post
 Wakiwa wamemaliza leo  mechi zao za mwisho za kirafiki Chelsea na Man Utd wamemaliza kwa ushindi mzuri katika maandalizi yao ya ligi kuu ya EPL Diego Costa akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuipatia timu yake ya chelsea goli
 LVG akiingia uwanjani kabla ya pambano lao na Valencia
 Cesc Fabregas
 Diego Costa alipumzishwa na nafasi yake kuchukuliwa na Torres
 Maroune Ferrain aliweza kuisaidia timu yake ya Man Utd kupata ushindi wa 2-1 baada ya kufunga goli katka mda wa nyongeza
 Fellain akifunga goli lake la kwanza Man Utd
Diego Costa akishangilia ushindi wa 2-1 dhid ya Real Sociedad