Mshambuliaji Shaaban Idd Chilunda amekamilisha uhamisho wa kutua klabu ya nchini Hispania CD Tenerife kutoka Azam FC. Wawakilishi wake ,...

Mshambuliaji Shaaban Idd Chilunda amekamilisha uhamisho wa kutua klabu ya nchini Hispania CD Tenerife kutoka Azam FC. Wawakilishi wake ,...
Kocha mkuu wa Biashara United Mara, Hitimana Thierry raia wa Rwanda ametambulishwa leo katika ofisi za timu hiyo. Biashara Mara ambay...
Uongozi wa klabu ya Mtibwa Sugar umesema utakaa faradha na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ili kuona namna gani wanaweza wakapata nafa...
Mashabiki wa Nigeria wamepigwa marufuku kuingia uwanjani na kuku wa 'Bahati ' katika mechi za fainali za kombe la Dunia nchini ...
Timu ya Taifa ya Russia imeanza vyema mashindano ya Kombe la Dunia kwa kuibugiza Timu ya Taifa ya Saudi Arabia kwa magoli matano bila ma...
Kumekucha Urusi Hii Leo ni Kuanza Kombe la Dunia Kwa Mwaka 2018. Ni ufunguzi Ambapo Leo Kutakuwa na Mchezo Mmoja tu Kati ya Wenyeji Urus...
Haji Manara na msemaji wa Simba SC ameshinda tuzo ya mhamasishaji bora wa mwaka katika klabu hiyo. Golikipa Aishi Manula ameshinda tuzo ...
Klabu ya Yanga Sc, imejitoa kushiriki michuano ya Kagame Cup itakayoanza June 28 hadi July 13. Kikao cha kamati ya Mashindano kilichoket...
Klabu ya Singida United Imetupwa Nje ya Michuano ya SportPesa Super Cup Baada ya Kukubali Kipigo Kutoka Kwa Mabingwa Watetezi GOR Mahia. K...
Upangaji wa ratiba na makundi ya Ligi ya Vijana U20 kwa klabu za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara umefanyika leo Alhamis Juni 7,2018 Ma...
Mpira Umemalizika Kutoka Uwanja wa Afraha Mjini Nakuru Nchini Kenya Katika Mchezo wa Nusu Fainali ya Kwanza ya Michuano ya SportPesa Sup...
Aishi Manula Shomari Kapombe Mohammed Hussein Paul Bukaba Erasto Nyoni Jonas Mkude Shiza kichuya Mzamiru Yassin Rashid Juma Haruna Niyonz...
Na: DANIEL S.FUTE MWAMUZI Aden Marwa, kutoka Kenya ambaye aliteuliwa na FIFA kuwa mwamuzi wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kucheza fainal...
Nusu Fainali ya Michuano ya SpotPesa Super Kupigwa hii Leo Kwa Michezo yote Miwili katika Uwanja wa Afraha,Nakuru huko Kenya. Ambapo Katik...
Farid Miraji Mwekezaji katika klabu ya Simba, Mohammed Dewji anapenda kutoa taarifa kuwa ameanzisha tuzo ambazo zitakuwa zikitolewa kwa...
Arsenal wamehusishwa na usajili wa kiungo Marouane Fellaini na watafanya mazungumzo na kiungo huyo siku ya Jumatano kwa mujibu wa taarif...
Winga wa Liverpool Sadio Mane ni windo la usajili la Real Madrid majira haya ya kiangazi na alikuwa kwenye orodha ya usajili ya kocha Zine...
Kiungo Yaya Toure yupo tayari kucheza kwa mahasimu wa Manchester City, nao ni Manchester United msimu ujao ili kumuonesha Pep Guardiola ...
Farid Miraji. Klabu ya Singida United Imefanikiwa Kutinga Katika hatua ya Nu...
Klabu ya Mbao FC ya mjini Mwanza imemtangaza kocha Amri Said kuwa kocha wao mpya kwa msimu ujao wa Ligi kuu ya Tanzania Bara 2018/2019. ...