Breaking News
Loading...
Thursday, 5 July 2018

Info Post


Kocha mkuu wa Biashara United Mara,  Hitimana Thierry  raia wa Rwanda ametambulishwa leo  katika ofisi za timu hiyo.

Biashara Mara ambayo imepanda daraja hadi Ligi Kuu Bara, imeendelea kujiimarisha kwa asilimia kubwa kuhakikisha inapambana.


Hivi karibuni, Biashara Mara ilifanya usajili wa wachezaji kadhaa kuhakikisha inakuwa katika kiwango bora.