Breaking News
Loading...
Thursday, 14 June 2018

Info Post

Timu ya Taifa ya Russia imeanza vyema mashindano ya Kombe la Dunia kwa kuibugiza Timu ya Taifa ya Saudi Arabia kwa magoli matano bila majibu 

Saudi Arabia Wakutana na Kipigo Kikubwa katika Mechi yao ya Kwanza ya Kundi A kutoka Kwa Wenyeji Urusi.magoli ya Russia yamefungwa na wachezaji , Y.Gazinsky ,D.Cheryshev ⚽⚽,A.Dzyuba ⚽ , A.Golovin ⚽

#WC2018.