Breaking News
Loading...
Tuesday, 5 June 2018

Info Post

Farid Miraji.                                                            

Klabu ya Singida United Imefanikiwa Kutinga Katika hatua ya Nusu Fainali Jioni hii Huko Kenya Katika Mashindano ya SportPesa Super Cup Baada ya Kupata Ushindi Kwa Mikwaju ya Penati Mbele ya AFC Leopards.



Katika Mchezo huo Uliomalika Kwa Suluhu 0-0 na Kuamuliwa Kwa Penati Ambapo Ndio Singida United Imepata Penati 4 Dhidi ya 2 za Leopards.



Singida Imekuwa Timu ya Pili Baada ya Simba SC Kutoka Tanzania Kutinga hatua hiyo...Kwa Matokeo hayo hatua ya Nusu Fainali Simba SC Watavaana na Kakamega Home Boys Waliofika hapo Kwa Kuwatoa Yanga huku Singida United Watavaana na Gor Mahia Waliowatoa JKU.

Singida United 0-0 AFC Leopards
Penati 4-2.

#SportPesaSuperCup