Klabu ya Mbao FC ya mjini Mwanza imemtangaza kocha Amri Said kuwa kocha wao mpya kwa msimu ujao wa Ligi kuu ya Tanzania Bara 2018/2019.
Mbao FC wamemuajiri Amri Said baada ya aliyekuwa kocha wao Etienne Ndayiragije kuhamia KMC ya jijini Dar-es-Salaam.