Breaking News
Loading...
Thursday, 7 June 2018

Info Post

Klabu ya Singida United Imetupwa Nje ya Michuano ya SportPesa Super Cup Baada ya Kukubali Kipigo Kutoka Kwa Mabingwa Watetezi GOR Mahia.

Katika Mchezo Uliomalika hivi Punde Miamba hao wa Kenya Wameitwanga Singida United Magoli 2-0 Muuaji Akiwa ni Mshambuliaji wao Matata Meddie Kagere.



Kwa Matokeo hayo Sasa Fainali ya Mashindano haya yataikutanisha Simba SC ya Tanzania Dhidi ya GOR Mahia ya Kenya...

Fainali Kupigwa Juni 10 Saa 9 za Jioni Mapema Kabisa Saa 6 za Mchana Utapigwa Mchezo wa Kupata Mshindi wa tatu Kati ya Singida United na Kakamega HomeBoyz.