Breaking News
Loading...
Thursday, 7 June 2018

Info Post

Mpira Umemalizika Kutoka Uwanja wa Afraha Mjini Nakuru Nchini Kenya Katika Mchezo wa Nusu Fainali ya Kwanza ya Michuano ya SportPesa Super Cup Kwa Wawakilishi wa Kwanza Simba SC Kutinga Fainali.

Katika Mchezo hui Klabu ya Simba Ilikuwa Inacheza na Kakamega Home Boys na hapo hapo Kenya Umemalizika Kwa Suluhu 0-0 na Kuamuliwa Na Mikwaju ya Penati Ambapo Simba SC Imepata Penati 5 Dhidi ya 4 za Wenyeji wao K.K Home Boys.

Inasubiliwa Nusu Fainali ya Pili Inayoanza Sasa Kati ya Singida United na GOR Mahia Ambapo Mshindi Anaungana na Simba Kucheza Fainali.

K.K Home Boys 0-0 Simba SC
Penati 4-5.

#SpotPesaSuperCup