WABUNGE WA YANGA WAENDELEZA UBABE KWA WABUNGE WA SIMBA
Info Post
Wabunge wa Yanga wameendeleza ubabe tena baada ya kuwafunga wabunge wenzao wa Simba 3-2 katika mchezo wa kirafiki maalum wa Tamasha la Matumaini
Mbunge wa Chalinze Ridhwan Kikwete akivua jezi kuwakabidhi washabiki wake
Jezi ikigombaniwa
Kikosi cha Simba