Breaking News
Loading...
Wednesday, 1 October 2014

Info Post
Mchezaji wa arsenal Danny welbeck usiku wa jana alifunga goli 3 peke yake kwenye ushindi wa bao 4 walioupata arsenal dhaidi ya galatasaray
welbeck alifunga magoli hayo dakika ya 22,30 na 52
Ni mara ya kwanza kwa Dany welbeck kufunga magoli matatu kwenye mechi moja.
Dany Welbeck anakuwa mchezaji wa 6 kutoka uingereza kufunga hat trick kwenye michuano ya klabu bingwa ulaya.
Bao lingine la arsena lilifungwa na Alex sanchez dakika ya 41ya mchezo
dakika ya 61 kipa wa arsenal Szczensny  alimkwatua mshambuliaji wa galatasaray Yilmaz kwenye eneo la hatari,kipa huyo alioneshwa kadi nyekundu na galatasaray kupata penati iliyofungwa na Yilmaz dakika ya 63.
mpaka mpira unaisha
Arsenal 4-1 Galatasaray
Kilemba Entertaiment's photo.