Abdul Mingange,Charles Mkwasa ,Shafii Daud na Mzazi wakijadili soka ndani ya uwanja wa Chamazi
Ttukiwa katika kutoa tunzo ya wanamichezo bora 2012 anayeongea ni Zamoyoni Mogera,Mzazi,Dauda,Wambura,Kumwembe na Doric
Ndani ya uwanja wa pili wa Chamazi nikiwa na Meneja wa uwanja aliyevaa miwani John Fute na kocha wa kikosi cha pili cha Simba Mganda
Nikiwa na Seif Magari moja kati ya vigogo wa Yanga Afrika
katika majukumu ya kikazi zaidi ndani ya soka
Info Post