Breaking News
Loading...
Friday, 1 August 2014

Info Post
 Wapenzi wa soka duniani leo wanasubiri kwa hamu kubwa pambano litakalowakutanisha magwiji wa soka barani Ulaya kati ya Man Utd vs Real Madrid ambapo kwa saa za Afrika mashariki unategemea kuanza saa 5.00 usiku
 Kikosi cha Manchester Utd kitakachopambana na Real Madrid
 Kikosi cha Real Madrid
 James Rodregueze ambaye amesaini Real Madrid msimu huu.
 LVG atakuja na kitu gani kipya leo
Carlo Ancellot ataendeleza ubabe