MAUMBILE YA WACHEZAJI WAKONGWE ZAMANI
Info Post
Tanzania ni kipindi kirefu sasa tumepoteza wachezaji wenye maumbile makubwa sijui kwa nini ni jukumu letu sasa kujiuliza kwa nini,ebu angalia huyo mwenye jezi ya Chelsea anaitwa Hassan Ahmedy alipata kucheza Nyota Nyekundu,Simba Sports na Bandari Mtwara bonge la beki kuna wakati alitaka kusababisha Muungano ufe baada ya Malindi kuikatia rufaa Simba.Mwingine anaitwa Kingsley Mwalilo yeye aliwahi kuitwa Taifa Stars akiwa anacheza Biashara Shinyanga ikiwa daraja la pili leo hatuna wachezaji wa kariba yake pia alicheza Coastal Union ya Tanga ni bonge la Striker msikose kupitia blog hii ya Mwaisabula mtaburudika saana na wakongwe