Merseyside Derby Vs London Derby
Timu zenye upinzani mkali nchini uingereza kutoka mji wa london Arsenal na spurs zitavaana katika kumtafuta nani mbabe wa mji wa london
msimu uliopita Arsenal alishinda mechi zote mbili,Je watarudia walichokifanya msimu uliopita?
Upande wa pili ni mechi kati ya Baba na mtoto Liverpool Vs EVerton hii unaweza kuiita Merseyside Derby kama waingereza wengi wanavyoitambua.Kama tunavyojua Liverpool ilizaliwa ubavuni mwa everton.Msimu uliopita liverpool alimtwanga everton mechi zote mbili tena biula huruma,Je Everton atafuta uteja?
Yote tutajua baada ya mitanange hii kuisha.
RATIBA KAMILI YA MECHI ZA LEO ZA LIGI KUU UINGEREZA HII HAPA
JUMAMOSI 27th September 2014
Liverpool V Everton | 8:45 | ||
Chelsea V Aston Villa | 11:00 | ||
Crystal Palace V Leicester | 11:00 | ||
Hull V Man City | 11:00 | ||
Man Utd V West Ham | 11:00 | ||
Southampton V QPR | 11:00 | ||
Sunderland V Swansea | 11:00 | ||
Arsenal V Tottenham 1:30 |