BAADA ya asubuhi maveterani mbalimbali waliowahi kutamba katika medani ya soka nchini kutoana jasho, jioni hii burudani imehamia katika Hotel kubwa yenye hadhi ya aina yake LEKAM ROYAL HOTEL iliyopo maeneo ya Buguruni Rozana.\
zifuatazo ni picha mbalimbali za wakongwe wakiburudika katika Bonanza hilo
NI BURUDANI YA AINA YAKE NDANI YA LEKAM ROYAL PUB BUGURUNI
NI SHEEEDAH!! BONANZA LA VETERAN LAHAMIA LEKAM ROYAL PUB
Info Post