RONALDO AWEKA REKODI NYINGINE
Info Post
Mshambuliaji Christian Ronaldo amweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza la liga kufunga goli 15 katika mechi 8 za kwanza za la liga.Ronaldo ameweka rekodi hiyo wakati timu yake ya Madrid ikiifunga Timu ya Levante mabao matano huku yeye akifunga magoli mawili peke yake