Breaking News
Loading...
Saturday, 7 April 2018

Info Post


Magoli kutoka Toliso, James Rodriguez,Arje Robben na Sandro Wagner yametosha kuipa Bayern Munich taji la sita mfululizo la Bundesliga baada ya kuitungua 4-2 Augsburg leo hii.
Bayern Munich wamefikisha pointi 72 , pointi  20 zaidi ya Schalke wenye pointi 52 zikiwa zimebaki mech 5 ligi kuisha.
Sasa macho ya Bayern baada ya kunywa Bavaria leo katikati ya wiki wanarejea Allianz Arena kucheza dhidi ya Sevilla kwenye mechi ya UEFA robo fainal