Breaking News
Loading...
Saturday, 7 April 2018

Info Post

Lionel Messi anafunga magoli matatu ( Hat Trick ) na kuisaidia Barcelona kushinda 3-1 dhidi ya Leganes na kujikita kileleni kwa kufikisha Pointi 79 , kumi na mbili zaidi ya Atletico Madrid 67 .
Atletico Madrid wana mchezo mmoja mkononi dhidi ya Real Madrid hapo kesho dimba la Santiago Bernabeu.
Lionel Messi sasa anafikisha magoli 29 katika La Liga sawa na Mo Salah katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu cha mfungaji bora wa bara la Ulaya.