Breaking News
Loading...
Saturday, 14 April 2018

Info Post


Imeripotiwa kuwa klabu ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imeanza kufanya maongezi na wawakilishi wa mlinda mlango wa klabu ya Chelsea Thibaut Courtois kwa mujibu wa Mirror football 
Courtois amekuwa akihusishwa sana na kujiunga na miamba ya Hispania Real Madrid mara kadha lakini PSG nao wanaonekana kuingia katika mbio za kuinasa saini ya mlinda mlango huyo
PSG wamekuwa wakibadili walinda milango mara kwa mara katika miaka ya hivi karibuni huku  Salvatore Sirigu, Kevin Trapp na sasa  Alphonse Areola wote wakionekana kushindwa kujiweka uhakika katika chaguo la namba 1