Ligi Kuu soka Ya Tanzania Bara Maarufu zaidi kama Vodacom Premier League itaendelea leo kwa Mechi 3 Kuchezwa.
Katika uwanja wa Manungu mkoani Morogoro Mtibwa watakuwa wenyeji wa Azam Fc mechi ikichezwa saa nane Kamili mchana.
Nako mjini Songea maji Maji ya Mkoani Ruvuma itakuwa wenyeji wa Ruvu Shooting wazee wa Kupapasa Hii mechi Itaanza saa kumi lasiri.
Stand United watakuwa wenyeji wa Kagera Sugar katika uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga mechi ikianza saa kumi kamili alasiri.