Breaking News
Loading...
Sunday, 8 April 2018

Info Post



Dakika ya 15 Zambia wanapata bao la Kuongoza, Goli Likifungwa na Racheal Kundananji Matokeo Ya Jumla yanakuwa
Zambia 4 – 3 Twiga Stars
Dakika ya 30 bado Zambia 1 – 0 Twiga
 Stars
HALF TIME

Zambia 1 – 0 Twiga Stars
Dakika ya 50
Zambia 1 – 0 Twiga Stars
Dakika ya 70
Zambia 1 – 0 Twiga Stars
Dakika ya 72 Twiga Stars inasawazisha kupitia kwa Mwanahamis Omari
Zambia 1 – 1 Twiga Stars

FULL TIME
Zambia 1 – 1 Twiga Stars, Matokeo ya Jumla (4 – 4 ) . Twiga Stars wanatoka kikanuni ya Goli la Ugenini.