Breaking News
Loading...
Sunday, 8 April 2018

Info Post


Winga wa kimataifa wa Ufaransa na klabu ya Bayern Munich , Kingsley Coman ametwaa taji lake la saba la ligi kuu baada ya hapo jana Bayer Munich kutwaa ubingwa wa Bundesliga .
.
.
Coman alitwaa mataji mawili ya ligi kuu ya Ufaransa akiwa na PSG , mataji mengine mawili akiwa na Juventus na mataji matatu akiwa na Bayern Munich.
PSG x2 🏆🏆
Juventus x2 🏆🏆
Bayern Munich x3 🏆🏆🏆
Na ndio kwanza ana miaka 21.⭐️⭐️