Mechi ya vpl iliowakutanisha Yanga Sc dhidi ya Singida United imemalizika kwa kutoka sare ya kufungana goli Moja kwa Moja .
Goli la Singida united limefungwa na Papy kambale mnamo dk 2 ya mchezo na lile la kusawazisha la Yanga limefungwa na Abdalah shaibu Ninja mnamo dk 87 ya mchezo