Breaking News
Loading...
Thursday, 12 April 2018

Info Post

Ratiba ligi kuu Soka Tanzania bara kinaendelea leo kwa michezo mitatu kupigwa kwenye viwanja tofauti uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Wenyeji Simba Sc itawaalika Mbeya City mchezo utakaopigwa majila ya saa kumi jioni , wakati Ruvu Shooting ikiwaalika Azam Fc kwenye uwanja wa Mabatini Mlandizi Pwani majila ya saa kumi kamili jioni mchezo mwingini ni kule Morogoro ambopo wenyeji Mtibwa Sugar akiwaalika Ndanda Fc kwenye Uwanja Manungu .