Breaking News
Loading...
Thursday, 12 April 2018

Info Post



Mashindano ya Cecafa Chini ya Miaka 17 inatarajiwa Kuanza April 14  mpaka April 29 huko nchini Burundi ambapo Tanzania Bara na Tanzania visiwani ni moja kati ya Nchi ambazo zitashiriki Michuano hiyo

Makundi ya CECAFA U-17 Mwaka 2018
Kuna Makundi mawili katika  Hii Kundi A na Kundi B

Kundi A kuna Timu za Somalia, Burundi, Ethiopia na Kenya wakati Kundi B Tanzania Bara, Zanzibar, Uganda na Sudan.

Mechi ya Kwanza Kwa Tanzania Bara.

Tanzania bara MSOMAJI wa Football Swahili page Itaanza Mchezo wake wa Kwanza dhidi ya Uganda April 15 siku moja baada ya Uzinduzi wa Michuano Hiyo.