Marseille watakuwa wakimenyana na mabingwa mara mbili wa UEFA Europa League (2010/2012), Atletico Madrid katika mchezo wa Fainal katika michuano ya UEFA Europa.
Mechezo utapigwa kuanzia mishale ya saa 21:45 usiku, katika Dimba la Groupama Stadium Jijini Lyon Nchini Ufaransa. .