Atletico Madrid Wamefanikiwa kutinga Fainali Baada ya kuiondosha Arsenal Kwa Jumla ya Magoli Mawili Kwa Moja.
Katika Mchezo wa hapo Atletico Madrid Walifanikiwa Kushinda Goli Moja Huku Sare ya 1-1 ya Mchezo wa Kwanza Ugenini imewasaidi kutinga Fainali na kuzima ndoto za Arsenal kwenda Fainali.
Pia Marseille Imefanikiwa kutinga Fainali Baada ya kuiondosha Salzburg Hapo Jana Kwa Jumla ya Magoli Matatu Kwa Mawili.
Katika Mchezo wa hapo Jana Marseille Walipigwa Mbili Bila na Mchezo kuwa na Aggregate ya 2-2...hatua iliyofuata ni Dakika 30 za Ziada (Extra time) na hapo Marseille wakafanikiwa kupata Goli lililowafusha kwa Aggregate ya 3-2.
Fainali Sasa ni Marseille Vs Atletico Madrid.