Breaking News
Loading...
Tuesday, 15 May 2018

Info Post

Pep Guardiola anataka kuungana tena na kiungo wa Real Madrid Toni Kroos majira ya kiangazi kwa mujibu wa taarifa kutoka  Don Balon.
Kroos anawindwa pia na Manchester United ya Jose Mourinho , lakini Guardiola hataki kupoteza nafasi ya kufanya kazi tena na kiungo huyo .

Guardiola aliwahi kufanya kazi na Kroos walipokuwa Bayern Munich na kutwaa taji la Bundesliga pamoja.