Breaking News
Loading...
Thursday, 3 May 2018

Info Post


Paris Saint-Germain wanajiandaa kutoa ofa ya Pauni Milioni 100 katika mchakato wa kumnasa kiungo wa Tottenham  Christian Eriksen majira ya kiangazi, kwa mujibu wa taarifa kutoka Daily Express.

Taarifa zinasema kwamba mabingwa hao wa Ufaransa wanataka kujenga safu yao ya kiungo kumzunguka Eriksen , ilik kujipa nafasi ya kufanya vizuri zaidi katika mashindano ya ligi ya mabingwa Ulaya.