Daniel Fute
WIKIENDI iliyomaliza jana, tuliweza kuzishuhudia Ligi kuu mbalimbali zikimaliza msimu wake wa 2017/18.
Kivutio kikubwa cha mashabiki katika Ligi kuu kutoka ulaya ni, Ligi ya England, Hispania, Ufaransa, Italia na Ujerumani. Hizi ndio Ligi ambazo zimekuwa zikifuatiliwa kwa ukubwa sana na mashabiki wa Soka tofauti na Ligi nyingine.
Msimu umemalizika na ifahamike Ligi kuu yoyote inakuwa na ushindani, kuna timu ambazo zinashindania Ubingwa na nyingine zinajitetea kutoshuka daraja au kupanda daraja.
Hapa nitaziweka timu zote ambazo zimeshuk daraja na zile zilizopanda daraja katika Ligi kuu 5 bora barani ulaya. Lakini bado kuna timu zinagombania nafasi ya kupanda daraja kwa njia ya Play-Off nazo nitazitaja hapa.
*Premier League-England*
★Timu Zilizoshuka Daraja
- Swansea
- Stoke City
- West Bromwich Albion
★Timu Zilizopanda Daraja
-Wolverhampton Wanderers
-Cardiff City
☆Play-Off
-Fulham
-Aston Villa
-Middlesbrough
-Derby County
*Serie A-Italia*
★Timu Zilizoshuka Daraja
-Crotone
-Hellas Verona
-Benevento
★Timu Zilizopanda Daraja
-Empoli
-Frosinone
☆Play-Off
-Parma
-Palermo
-Venezia
-Bari
-Cittadela
-Perugia
*La Liga-Hispania*
★Timu Zilizoshuka Daraja
-Deportivo la Coruna
-La Palmas
-Malaga
★Timu Zilizopanda Daraja
-Rayo Vallecano
-Huesca
☆Play-Off
-Sporting Gijon
-Real Zaragoza
-Numancia
-Valladolid
*Ligue 1-Ufaransa*
★Timu Zilizoshuka Daraja
-Toulouse
-Troyes
-Metz
★Timu Zilizopanda Daraja
-Reims
-Nimes
☆Play-Off
-Ac Ajaccio
-Le Harve
-Brest
*Bundesliga-Ujerumani*
★Timu Zilizoshuka Daraja
-Wolfsburg
-Humberger Sv
-Fc Cologne
★Timu Zilizopanda Daraja
-Fortuna
-Nuernberg
☆Play-Off
-Holstein Kiel
Kwaheri msimu wa 2017/18, Karibu msimu wa 2018/19.