Breaking News
Loading...
Monday, 14 May 2018

Info Post
ll

Juve.. Scudetto mara 7 🏆
Baada ya sare pacha dhidi ya As Roma leo usiku Juventus wametetea taji lao na kutwa taji hilo la Serie A kwa mara ya saba mfululizo.

Napoli wamekuwa wakiwapa Juve ushindani mkubwa katika mbio za ubingwa lakini Juve wameonyesha ukomavu na uzoefu wao wa miaka mingi katika eneo la robo ya mwisho ya msimu na kufanikiwa kutwaa tena ubingwa.