Baada ya kushiriki kwa miaka 8 ndani ya Ligi kuu ya Soka ya Uingereza, hatimaye West Brom wameshuka daraja msimu na kucheza Championship msimu ujao.
West Brom baada ya kupigana dakika za mwisho mwisho chini ya kocha Darren Moore lakini Goli la Manolo Gabbiadini dhidi ya Swansea ndio limewashusha daraja rasmi .
Hakika mpira hauna huruma hebu tazama aina ya vilabu vilivyoshuka daraja mpaka sasa na zaidi aina ya wachezaji waliomo ndani ya vikoso hivyo.! .
Johhn Evans - EPL na Man United
Shaqir - Bundesliga na Bayern Munich
Kieran Gibbs - FA Cup na Arsenal
Kyrichoviak - Europa na Sevilla
Kort Zouma - EPL na Chelsea
Jesse Rodriguez - Real Madrid
Joe Allan - NusuFainali Euro 2016 na Wales