Juventus wamewasiliana na Chelsea kuhusu mpango wao wa kutaka kumsajili tena Straika Alvaro Morata, kwa mujibu wa taarifa kutoka Daily Mirror.
Vinara hao wa Serie A wapo tayari kutumia kiasi cha Pauni Milioni 60 kwa Muhispania huyo , ambaye amekuwa na msimu usioridhisha ndani ya Chelsea.