Breaking News
Loading...
Tuesday, 8 May 2018

Info Post



Straika wa Paris Saint-Germain Edinson Cavani yupo katika rada ya Atletico Madrid , kwa mujibu wa taarifa kutoka Le10Sport.

Straika huyo wa kimataifa wa Uruguay anatakiwa Wanda Metropolitano kuziba nafasi ya Antoine Griezmann, ambaye anatazamiwa kuondoka katika klabu hiyo ya jijini Madrid.

Griezmann ameripotiwa kuwa tayari kuhamia kwa mabingwa wa La Liga Barcelona majira ya kiangazi .