BALOTELI HANA NAFASI LIVERPOOL
Info Post
Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amesema Baloteri hana nafasi katika kikosi chake cha sasa na sasa anaangalia mbadala wa kuziba nafasi ya pengo la Luis Suarez ambaye amekwenda Barcelona, Baloteli bado hajawa mbadala wa Suarez.