Bebeto wa miaka ileee
Info Post
Nikiwa na kijana jina lake la utani alikuwa anaitwa Bebeto alikuwa akichezea timu ya daraja la tatu tu Ilala lakini jiji zima lilikuwa linamjua kutokana na umahiri wake wa kufunga magoli ebu tujiulize leo wapenzi wa soka ni mchezaji gani wa kariba yake aliyeko madaraja ya chini tuyamfahamu je soka letu linaelekea wapi?