Magoso
Info Post
Bonge la mtu limepanda juu lina nguvu lakini lina akili nyingi za soka,Fikiri Magoso ni moja kati ya wachezaji waliowika wakiwa na Reli ya Morogoro lakini waliposajiriwa na Simba kabla hajatua tu Msimbazi tayari alikuwa na namba yake ya kucheza yaani namba 4,je leo ni wachezaji wangapi wanaojiunga na hivi vilabu vikubwa vya Simba na Yanga wakawa na uhakika wa kucheza?