PICHA KALI YA COUTINHO
Info Post
Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Andrey Coutinho (kushoto) akiwa
ameangushwa chini na wachezaji wa Thika United ya Kenya katika mchezo wa
kirafiki wa kimataifa kwenye Uwanja wa Taifa juzi. Yanga ilishinda 1-0. ( MWANANCHI)