Awadh Juma walicheza vyema kwenye nafasi ya kiungo huku Rajab Isihaka na Nahodha Owino wakitengeneza ukuta mkali.
Kwa upande wa Ruvu Shooting walicheza vyema kipindi cha kwanza lakini kipindi cha pili waliingia na akili ya kutafuta sare kuliko ushindi jambo ambalo liliwagharimu.
Ushindi wa Simba Jana umewarudisha katika hali,kinachotakiwa ni kushinda mechi nyingi zaidi ili kuongeza kujiamini.