Breaking News
Loading...
Thursday, 27 November 2014

Info Post
mechi hiyo itakayopigwa kesho siku ya ijumaa saa 2 asubuhi kati ya timu ya KMC ambayo kwa sasa inamilikiwa na Halmashauri ya Kinondoni ambayo iko daraja la kwanza ambayo kwa sasa inafundishwa na Kennedy Mwaisabula akishilikiana na Eugen Mwasamaki itakutana na Abajaro ambayo iko daraja la pili ikinolewa na Mbwana Makata mmoja kati ya makocha wazoefu hapa Nchini njoo ujionee soka