Mshambuliaji wa Lipuli Fc Adam Salamba ameshinda Tuzo ya Mchezaji wa bora wa mwezi uliopita March
Adam Salamba amewapiku wachezaji wenzake wawili aliokuwa anashindana nao kwenye tuzo hiyo kwa mwezi March , Mshambuliaji huyo Amewapiku Mwadini Ally golikipa wa Azam Fc na Salum Kimenya beki wa Tanzania Prisons