Breaking News
Loading...
Friday, 13 April 2018

Info Post

Faridi Miraji

Bayern Munich watawakaribisha Real Madrid katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya katika dimba la Allianz Arena 




Liverpool watakabiliana dhidi ya AS Roma katika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 
Liverpool wataanzia nyumbani katika dimba la Anfield
Mechi za kwanza zitapigwa Aprili 24 na 25 na mechi za marudiano ni Mei 1 na 2.