Breaking News
Loading...
Friday, 13 April 2018

Info Post


Arsenal watawakaribisha Atletico Madrid katika dimba la Emirates Aprili 26 katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya kombe la Europa kabla ya mechi ya marudiano katika dimba la Wanda Metropolitano, Mei 3.

Ambapo Marseille ataanzia nyumba Ufaransa, Aprili 26 katika mechi ya wkanza ya Nusu Fainali dhidi ya Red Bull Salzburg kabla ya kusafiri kwenda Austria kwenye mechi ya marudiano Mei 3.