Breaking News
Loading...
Tuesday, 24 April 2018

Info Post

Kuna Taarifa zisizo za Ukweli Zilikuwa zinasambaa kuwa Mshambuliaji huyo ana kadi tatu za Njano kitu Ambacho kingemfanya kukosa Mchezo Unaofuata Wa Ligi Kuu Dhidi ya Mnyama Simba SC Wikendi hii.

Chirwa Alikosa Mchezo Dhidi ya Ndanda FC Sababu ya kuwa na Kadi tatu za Njano na tokea hapo Kacheza Michezo Mitatu (Kagera Sugar,Singida United na Stand United) Ambayo hakupa Kadi na hiyo Kadi Moja kapata Katika Mchezo Dhidi ya Mbeya City Ulioisha kwa Sare ya 1-1 Kule Sokoine Mbeya