Breaking News
Loading...
Sunday, 22 April 2018

Info Post

Huko Mexico ndani ya gari kombe la Europa League lapatika likisafirishwa.

Ikumbukwe Kombe hili Liliibiwa Siku ya Ijumaa Katika Mji wa Leon na Sasa kimepatika bila ya kufanyiwa Uharibifu.

Jambo la Ajabu zaidi kombe Hili limepatikana katika Gari ya FedEx ambao ndio wadhamini wakuu wa Europa league Msimu Huu.

Kombe hili lilikuwa katika Tour ili kuvutia watu na Mashindano haya ya Europa league kama ilivyo kwa kombe la UEFA huwa linatembezwa pia Kombe la Dunia huwa Linatembezwa.

Tunakumbuka Pia Mwaka 1966 Kombe la Dunia liliibiwa pale London na kuja kupatikana na Mbwa.