Breaking News
Loading...
Sunday, 22 April 2018

Info Post

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imefuzu kwenda hatua ya mwisho ya mchujo kuwania nafasi ya kucheza Fainali za vijana wa umri chini ya miaka 20 Afrika mwakani yatakayo fanyika nchini Nigeria,ikiwa ni baada ya ushindi wa penati 6-5, kufuatia sare ya 0-0 dhidi ya Timu ya vijana ya DR Congo.



Ikumbukwe kuwa mchezo wa kwanza ulichezwa nchini Tanzania Machi 31 mwaka huu  na mpaka dakika 90 za mchezo huo zilimalizika  hakuna timu iliyoweza kuchungulia lango la mwenzie