Monchi , Mkurugenzi wa Michezo wa AS Roma ni mmoja wa wanaume wenye nyota kubwa sana katika mashindano ya ulaya.
Alipokuwa Sevilla walikuwa wanatwaa sana taji la Europa si chini ya mara tatu na sasa ametua Roma , sera yake ya usajili imesaidia kutengeneza kikosi kizuri sana chini ya kocha Eusebio Di Francesco .
Sasa AS Roma wanatinga nusu fainali kwa mara nyingine tangu msimu wa 1983/84 .