Breaking News
Loading...
Saturday, 14 April 2018

Info Post

Kocha George Lwandamina ambaye alijiunga na Yanga toka November 2016 wakati ambao aliikuta Timu ikiwa na Kocha Hans Van Pluijm kipa wa zamani wa Timu ya Taifa ya Uholanzi.

Toka Kocha GL ajiunge na Yanga aliiongoza timu katika jumla ya mechi 77 ya Mashindano yote.

Katika mechi hizo 77 msomaji wa Football Swahili page Lwandamina Aliiongoza Yanga Kushinda mechi 45 na Kutoa sare 18 na Kufungwa Jumla ya mechi 14.

Katika Mechi hizo 45 Alizoshinda akiwa na Yanga mbili ni ilikuwa ni kwa Penati baada ya sare ya uwanjani, Na Katika mechi 14 alizopoteza 5 Ilikuwa ni kwa Penati baada ya sare ya uwanjani