Unamkumbuka Amis Tambwe yule Mpiga Mipira ya Vichwa hatari wa Klabu ya Yanga SC Ambaye Kwa Sasa ni Majeruhi Anawindwa na Mtibwa Sugar Pamoja na Mbeya City.
Tayari Simba na Yanga SC Zimeanza kumyatia Adam Salamba wa Lipuli FC.. Yanga wana nafasi kubwa kwani Simba huyu ni Plan B ya Iddi Kipangwile wa Azam FC.
Simba nayo inawawinda Iddi Kipangwile wa Azam FC,Ditram Nchimbi wa Njombe Mji, Mudathiri Yahya (yupo huru) ila Anamalizana na Singida mpaka Mwisho wa Msimu,Adam Salamba wa Lipuli FC, Iddi Kipangwile wa Azam FC na Obrey Chirwa wa Yanga SC.
Kati ya hao wachezaji Wote Simba itawasajili Wawili tu.
Yanga IPO mbioni kuondokewa na Kipa wao Beno Kakolanya na Winga Geoffrey Mwashiuya Na Singida United inatajwa kuwania Saini zao.