Breaking News
Loading...
Sunday, 22 April 2018

Info Post


Magoli kutoka kwa Alexis Sanchez na Ander Herrera yametosha kuipeleka Mancheste United fainali ya kombe la FA baada ya kuitungua Tottenham 2-1 dimba la Wembley.

Man United sasa watamsubiri mshindi wa nusu fainali ya kesho baina ya Southampton na Chelsea katika dimba la Wembley.
.
.
Sanchez ameibuka kuwa mchezaji bora wa mechi ( Man Of the Match ) .